HATUA INAYOFUATA

Unataka kujifunza kwanza, au uko tayari kufuatiliwa?

Hakuna pressure ya kuchagua haraka. Chagua hatua inayolingana na ulipo sasa.

JIFUNZE KABLA YA KUAMUA

Nataka elimu kwanza

Fungua maktaba ya masomo kuhusu chakula, njaa, usingizi, stress, movement na accountability.

FUNGUA ELIMU
USIMAMIZI SI DIET MPYA

Ni mfumo wa kukusaidia kutekeleza.

Qualification si malipo. Inatusaidia kuelewa ulipo, changamoto zako na kama mfumo wetu unaweza kuwa hatua inayofaa kwako. Hakuna malipo yanayofanyika kupitia ukurasa huu.

Ikiwa una hali ya kiafya, ujauzito, unatumia dawa au una dalili zinazokutia wasiwasi, zungumza na daktari kabla ya kufanya mabadiliko makubwa ya chakula au mazoezi.