Insulin
Kula mara kwa mara, hasa vitu vyenye sukari nyingi, kunaweza kufanya mwili ushikilie mafuta. Tunajifunza kupanga milo kwa njia rahisi.
JENGA MWILIJenga Afya, Jenga Mwili
Program ya siku 7
Ndiyo, mwili wako unaendelea kufanya kazi usiku
Hata unapolala, mwili wako hauachi kufanya kazi na kutumia nishati.
Ukiupa mwili mpangilio sahihi, unaweza kuendelea kutumia nishati iliyohifadhiwa wakati wa usingizi—na safari ya kupunguza uzito na mafuta ya tumbo isiishie unapofumba macho.
Hii si ahadi ya kulala tu na kusubiri matokeo. Ni mfumo unaokuonyesha hatua za mchana na usiku zinazouandaa mwili kufanya kazi vizuri zaidi.
Utapelekwa WhatsApp kuwasiliana na Coach Mo
Tatizo si kwamba hujajaribu
Watu wengi wamejaribu diet, kufunga, kuacha wali au ugali, au kufanya mazoezi makali. Wengine wanapata matokeo kwa muda—halafu uzito unarudi.
Mara nyingi si kwa sababu hawana juhudi. Ni kwa sababu hawana mpangilio unaoeleweka na mtu wa kuwafuatilia wanapokwama.
Huhitaji kukisia kila siku. Unahitaji kujua cha kufanya, kwa nini unakifanya, na hatua inayofuata.
Tunauangalia mwili kwa ujumla
Kula mara kwa mara, hasa vitu vyenye sukari nyingi, kunaweza kufanya mwili ushikilie mafuta. Tunajifunza kupanga milo kwa njia rahisi.
Si chakula tu—muda wa kula pia una maana. Mwili unapopata nafasi kati ya milo, hutumia vizuri nishati iliyohifadhiwa.
Protini husaidia kushiba, kupunguza tamaa ya kula ovyo na kulinda nguvu za mwili unapopunguza uzito.
Usingizi mzuri husaidia kutuliza hamu ya kula na kuupa mwili nafasi ya kujirekebisha usiku.
Msongo wa mawazo unaweza kuongeza hamu ya kula na kuvuruga usingizi. Tunajifunza hatua ndogo za kuutuliza.
Huhitaji kuanza na mazoezi magumu. Kutembea na kuusogeza mwili kila siku ni sehemu muhimu ya mfumo.
Matokeo halisi ya JENGA MWILI
Washiriki wamepunguza uzito na vipimo, wakaboresha usingizi na movement, na kujifunza namna ya kudumisha uzito wao.
“Wakati naanza mafunzo nilikuwa kilo 94. Nimeshuka hadi kilo 70; sasa zikipanda sana nafika 75, hazizidi hapo.”
— Mshiriki wa JENGA MWILI
“Nilianza kilo 76, sasa 74.5. Tumbo lilikuwa 39, sasa 36. Kinachonipa furaha zaidi ni kwamba sasa nalala vizuri sana na mwili unakuwa mwepesi.”
— Mshiriki wa JENGA MWILI
“Kwa mara ya kwanza tangu March mwaka jana nimeweza kutembea bila fimbo kuzunguka kiwanja cha mpira. Maumivu yamepungua sana, na uzito umepungua kilo 2.25.”
— Mshiriki wa JENGA MWILI
Matokeo hutofautiana kwa kila mtu.
Anza hapa
KUACHA KUJUA TU —
NA KUANZA KUFANYA
Mawasiliano ya moja kwa moja kupitia WhatsApp