JENGA MWILIJenga Afya, Jenga Mwili Program ya siku 7

Ndiyo, mwili wako unaendelea kufanya kazi usiku

UNAWEZA KUPUNGUZA UZITO NA MAFUTA YA TUMBO HATA UKIWA UMELALA

Hata unapolala, mwili wako hauachi kufanya kazi na kutumia nishati.

Lakini jambo muhimu ni hili:

Unachofanya mchana ndiyo kinaandaa kile kinachotokea usiku.

Ukiupa mwili mpangilio sahihi, unaweza kuendelea kutumia nishati iliyohifadhiwa wakati wa usingizi—na safari ya kupunguza uzito na mafuta ya tumbo isiishie unapofumba macho.

Hii si ahadi ya kulala tu na kusubiri matokeo. Ni mfumo unaokuonyesha hatua za mchana na usiku zinazouandaa mwili kufanya kazi vizuri zaidi.

Fahamu mfumo kabla hujaanza
NATAKA KUANZA SIKU 7TSH 3,000

Utapelekwa WhatsApp kuwasiliana na Coach Mo

Tatizo si kwamba hujajaribu

Huenda unachokosa ni mfumo wa kufuata.

Watu wengi wamejaribu diet, kufunga, kuacha wali au ugali, au kufanya mazoezi makali. Wengine wanapata matokeo kwa muda—halafu uzito unarudi.

Mara nyingi si kwa sababu hawana juhudi. Ni kwa sababu hawana mpangilio unaoeleweka na mtu wa kuwafuatilia wanapokwama.

Huhitaji kukisia kila siku. Unahitaji kujua cha kufanya, kwa nini unakifanya, na hatua inayofuata.

Tunauangalia mwili kwa ujumla

Mambo madogo yanapopangwa vizuri, mwili unaanza kushirikiana.

01

Insulin

Kula mara kwa mara, hasa vitu vyenye sukari nyingi, kunaweza kufanya mwili ushikilie mafuta. Tunajifunza kupanga milo kwa njia rahisi.

02

Muda wa kula

Si chakula tu—muda wa kula pia una maana. Mwili unapopata nafasi kati ya milo, hutumia vizuri nishati iliyohifadhiwa.

03

Protini

Protini husaidia kushiba, kupunguza tamaa ya kula ovyo na kulinda nguvu za mwili unapopunguza uzito.

04

Usingizi

Usingizi mzuri husaidia kutuliza hamu ya kula na kuupa mwili nafasi ya kujirekebisha usiku.

05

Stress

Msongo wa mawazo unaweza kuongeza hamu ya kula na kuvuruga usingizi. Tunajifunza hatua ndogo za kuutuliza.

06

Movement

Huhitaji kuanza na mazoezi magumu. Kutembea na kuusogeza mwili kila siku ni sehemu muhimu ya mfumo.

Matokeo halisi ya JENGA MWILI

Siyo namba tu. Ni kurudisha uhuru wa mwili.

Washiriki wamepunguza uzito na vipimo, wakaboresha usingizi na movement, na kujifunza namna ya kudumisha uzito wao.

108 kg75 kg
94 kgkaribu 70 kg
76 kg74.5 kg
Kiuno 3936
✓ Usingizi bora✓ Movement nzuri✓ Kudumisha uzito

“Wakati naanza mafunzo nilikuwa kilo 94. Nimeshuka hadi kilo 70; sasa zikipanda sana nafika 75, hazizidi hapo.”

— Mshiriki wa JENGA MWILI

“Nilianza kilo 76, sasa 74.5. Tumbo lilikuwa 39, sasa 36. Kinachonipa furaha zaidi ni kwamba sasa nalala vizuri sana na mwili unakuwa mwepesi.”

— Mshiriki wa JENGA MWILI

“Kwa mara ya kwanza tangu March mwaka jana nimeweza kutembea bila fimbo kuzunguka kiwanja cha mpira. Maumivu yamepungua sana, na uzito umepungua kilo 2.25.”

— Mshiriki wa JENGA MWILI

Matokeo hutofautiana kwa kila mtu.

Anza hapa

JENGA MWILI
PROGRAM YA SIKU 7

KUACHA KUJUA TU —
NA KUANZA KUFANYA

Gharama ya kujiungaTSH 3,000 TU

Utakachopata ndani ya siku 7

  • Ratiba ya chakula ya siku 7
  • Kitabu cha mwongozo wa siku 7
  • Darasa la moja kwa moja kila siku
  • Group ya washiriki
  • Ufuatiliaji na maelekezo ya Coach Mo
  • Nafasi ya kuuliza na kurekebishwa unapokwama
NATAKA KUANZA SIKU 7TSH 3,000

Mawasiliano ya moja kwa moja kupitia WhatsApp