SERA YA FARAGHA

Taarifa zako zinatumika kwa mawasiliano ya Jenga Mwili tu.

Ukiwasilisha fomu, majibu yanafungua WhatsApp na yanatumwa baada ya wewe kubonyeza Send. Jenga Mwili hutumia majibu hayo kuelewa kama private coaching inaweza kukufaa na kuwasiliana nawe.

Tunachokusanya

Jina, umri, uzito wa sasa, lengo, changamoto na utayari wa kuzungumza kwa simu. Usitume vipimo, namba za hospitali au taarifa nyingine za siri kupitia fomu hii.

Matumizi ya matangazo

Tunaweza kupima kutembelewa kwa ukurasa na kubonyezwa kwa vitufe kwa kutumia zana za matangazo. Majibu ya fomu kama umri, uzito na changamoto hayatumiwi kama taarifa za Meta Pixel.

WhatsApp

Ukibonyeza kitufe cha kutuma, utaondoka kwenye website na kufungua WhatsApp. Matumizi ya WhatsApp yanaongozwa pia na sera zao.

Kuondoa taarifa

Unaweza kuomba mawasiliano yasitishwe au ujumbe wako ufutwe kwa kumwandikia Coach Mo kupitia WhatsApp ya Jenga Mwili.

RUDI KWENYE JENGA MWILI